• HABARI MPYA

    Tuesday, November 12, 2013

    GWARIDE LA NANI MTANI JEMBE MAJI YA CHAI MJINI ARUSHA

    Wakazi wa eneo la Maji ya Chai, Arusha wakiangalia burudani iliyokuwa inatolewa na timu ya kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe’ inayohusisha mashabiki Simba na Yanga,  ili kuzipigia kura timu zao na kushinda kitita kingi kati ya Tsh.100 milioni zilizotelewa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambao ndio wadhamini wa timu hizo na timu ya Taifa. Timu hiyo ipo kanda ya Kaskazini na Mashariki inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Singida na Tanga.
    Watalii kutoka nchi mbalimbali wakicheza pamoja na washereheshaji wa kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe’ inayohusisha mashabiki Simba na Yanga,  ili kuzipigia kura timu zao na kushinda kitita kingi kati ya Tsh.100 milioni zilizotelewa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambao ndio wadhamini wa timu hizo na timu ya Taifa. Timu hiyo ipo kanda ya Kaskazini na Mashariki inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Singida na Tanga. Watalii hao walikuwa wakitembelea maeneo mbalimbali mkoani Arusha

     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GWARIDE LA NANI MTANI JEMBE MAJI YA CHAI MJINI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top