• HABARI MPYA

    Tuesday, November 12, 2013

    OZIL APEWA BONGE LA HESHIMA UJERUMANI KUELEKEA KOMBE LA DUNIA MWAKANI BRAZIL

    IKIWA imebaki kiasi cha mwaka mmoja kabla ya Fainali za Kombe la Dunia, Ujerumani tayari wameanza maandalizi ya safari ya Brazil baada ya kutambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya michuano hiyo.
    Kikosi cha Joachim Loew imefuzu kwa kishindo baada ya kuongoza Kundi C na wasambazaji wa vifaa vya michezo, Adidas wametoa jezi mpya za timu hiyo bingwa mara tatu wa michuano hiyo, ambazo watavaa kwenye fainali za Brazil.

    Mwenye mpira: Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil (kushoto) akionyesha jezi mpya ya Ujerumani akiwa na mchezaji wa Schalke, Julian Draxler
    Incoming: Ozil and Draxler combined ball skills in promoting the Germany kit at the Allianz Arena
    Ozil na Draxler na jezi mpya za Ujerumani Uwanja wa Allianz Arena
    Show off: Ozil controls the ball before displaying his keepy-uppy skills

    On the road to Rio: Thomas Muller (centre) Draxler (right) and a Germany fan helped reveal the new strip
    New design: Germany's strip is a breakaway from previous kits

    Thomas Muller (katikati) Draxler (kulia) na shabiki
    Bootiful kit: Muller and Draxler were surrounded by adidas boots while promoting the new strip on a bus
    Muller na Draxler 
    Throwback: Germany's latest design is slightly similar to their 1994 World Cup strip, worn by Jurgen Klinsmann
    Inakumbushia enzi hizo: Jezi ya sasa Ujerumani inafanana fanana na na jezi ya Fainali za Kombe la Dunia mwa 1994 ambayo amevaa Jurgen Klinsmann hapa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: OZIL APEWA BONGE LA HESHIMA UJERUMANI KUELEKEA KOMBE LA DUNIA MWAKANI BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top