• HABARI MPYA

    Wednesday, November 13, 2013

    FUTURE YOUNG TAIFA STARS WAKIPATA MAPOCHOPOCHO NDANI YA SAPPHIRE COURT HOTEL

    Wachezaji wa timu ya pili ya soka ya taifa ya Tanzania, Future Young Taifa Stars, kipa Hussein Sharrif 'Cassilas' kulia wa Mtibwa Sugar na Simon Msuva wa Yanga kushoto, wakipata chakula cha usiku katika hoteli ya Sapphire Court, Kariakoo, Dar es Salaam jana walipoweka kambi yao. 

    Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba SC kushoto 

    Kutoka kulia David Luhende wa Yanga, Said Mourad na Himid Mao wa Azam FC

    Juisi sasa...

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FUTURE YOUNG TAIFA STARS WAKIPATA MAPOCHOPOCHO NDANI YA SAPPHIRE COURT HOTEL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top