• HABARI MPYA

    Monday, November 18, 2013

    DIAMOND ALIPOKUTANA NA ADEBAYOR LAGOS, ILIKUWA HIVI...

    Nyota wawili;Mwanamuziki nyota Mtanzania, Nassib Abdul ‘Diamond Platinums’ ameposti picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Manchester City, Emmanuel Adebayor akiwa katika hoteli Four Point mjini Lagos Nigeria. Diamond yupo huko kwa shughuli za kimuziki na amebahatika kukutana na mshmabuliaji wa Tottenham Hotspur ya England pia na Togo aliye mapumzikoni.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIAMOND ALIPOKUTANA NA ADEBAYOR LAGOS, ILIKUWA HIVI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top