BOSI YANGA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WAFANYABIASHARA
Njoo uwekeze Yanga; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mussa Katabaro (kulia) akizungumza na mfanyabiashara mwenzake kushoto katika Mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara juzi kwenye hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment