• HABARI MPYA

  Friday, May 03, 2019

  CHELSEA YALAZIMISHA SARE NA FRANKFURT 1-1 UJERUMANI

  Pedro akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao muhimu la ugenini la kusawazisha dakika ya 45 kufuatia Luka Jovic kuifungia la kuongoza Eintracht Frankfurt dakika ya 23 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Timu hizo zitarudiana Mei 9, Chelsea ikihitaji ushindi au sare ya 0-0 kwenda fainali ambako itakutana na mshindi kati ya Arsenal na Valencia Mei 29 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHA SARE NA FRANKFURT 1-1 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top