• HABARI MPYA

  Friday, February 02, 2018

  AUBAMEYANG ALIVYO TAYARI KABISA KUWAPA RAHA ARSENAL

  Mshambuliaji mpya wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akimtoka beki wa timu hiyo mkongwe, Mjerumani Per Mertesacker wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England kesho dhidi ya Everton Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG ALIVYO TAYARI KABISA KUWAPA RAHA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top