• HABARI MPYA

  Tuesday, June 06, 2023

  UONGOZI WA SIMBA WAKUTANA NA SPIKA BUNGENI LEO


  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji, Imani Kajula ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
  Viongozi hao waliambata na Mjumbe wa Bodi na Mwenyekiti wa Tawi la Simba Mjengoni, Mhe. Rashid Shangazi, Makamu Mwenyekiti Tawi la Simba Mjengoni, Mhe. Hawa Mwaifunga na Katibu wa Tawi hilo Ndg. Waziri Kizingiti. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UONGOZI WA SIMBA WAKUTANA NA SPIKA BUNGENI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top