Mwanzo > SIMBA > MATOLA AALIKWA GHANA KWENYE MICHUANO YA VIJANA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA MATOLA AALIKWA GHANA KWENYE MICHUANO YA VIJANA KOCHA Mkuu wa timu za vijana za Simba, Suleiman Matola amepata mwaliko wa kwenda Jijini Accra nchini Ghana kushuhudia mashindano ya vijana chini ya umri wa 23 yatakayofanyika nchini humo kuanzia Juni 20 hadi 24, mwaka huu. Tuesday, June 06, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment