• HABARI MPYA

  Friday, June 02, 2023

  MOHAMED OUATTARA AANZA MAZOEZI MEPESI KUJIWEKA SAWA


  BEKI Muivory Coast, Mohamed Ouattara ameanza mazoezi mepesi Simba SC baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na maumivu.
  Mohamed Ouattara amesajiliwa msimu huu Simba SC kutoka Al Hilal ya Sudan baada ya awali kuzichezea Wydad Casablanca na Nahdat Zemamra za Morocco, lakini maumivu yalimkwamisha kuonyesha uwezo wake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOHAMED OUATTARA AANZA MAZOEZI MEPESI KUJIWEKA SAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top