• HABARI MPYA

  Tuesday, June 06, 2023

  SHUKRANI ZA YANGA SC KWA MHESHIMIWA RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN

  UONGOZI wa Yanga umetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mwaliko wa Ikulu jana kupongezwa kwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHUKRANI ZA YANGA SC KWA MHESHIMIWA RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top