Edison Flores na Victor Yotun wakishangilia baada ya wote kuifungia Peru katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Chile kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena do Gremio, Porto Alegre, Rio Grande do Sul nchini Brazil. Bao lingine lilifungwa na Paolo Guerrero na kwa ushindi huo, Peru itakutana na Brazil kwenye fainali Jumapili wakati Chile itawania nafasi ya tatu dhidi ya Argentina PICHA ZAIDI GONGA HAPA
17-year-old Andreeva wins Indian Wells title
-
17-year-old Mirra Andreeva shocks world number one Aryna Sabalenka 2-6 6-4
6-3 to win the Indian Wells title.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment