Mshambuliaji Sadio Mane akipongezwa na wenzake, Roberto Firmino (kushoto) na Naby Keita (kulia) baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 19 na Daniel Sturridge dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Woman stabbed in the back in Lincoln, man arrested
-
A man suspected of a stabbing a woman in the back on Monday morning is now
in custody, the Lincoln Police Department said Monday.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment