Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimlamba chenga mchezaji wa Ruvu Shooting anayejaribu kumzuia Mrundi huyo kwa mikono asiuwahi mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0
Mfungaji wa mabao mawili ya Simba jana, John Bocco akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Rajab Zahir
Mshambuliaji wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi akivuta mguu kupiga mpira dhidi ya beki wa Ruvu Shooting, Damas Makwaya
Kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Rashid akitokea kuokoa dhidi ya Nahodha wa Simba, John Bocco aliyemzidi beki Rajab Zahir aliyeanguka chini
Beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi akimiliki mpira mbele ya Issa Kanduru wa Ruvu Shooting
Beki wa Simba, Yussuf Mlipili (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Ruvu, Fully Maganga
Mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Abdulrahman Mussa akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Erasto Nyoni
Beki wa Simba, Shomary Kapombe akitoa pasi katikati ya wachezaji wa Ruvu
Kikosi cha Ruvu Shooting kwenye mchezo wa jana
Kikosi cha Simba SC kwenye mchezo wa jana
Man United star 'could return to his former club' this summer after
revealing plans to leave Old Trafford
-
The 33-year-old is out of contract at Old Trafford in June and after
silence from the club about their plans for the future he is preparing to
seek a new c...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment