Olivier Giroud akimkimbilia mchezaji mwenzake, Eden Hazard kumpongeza baada ya kufunga mabao mawili dakika za 25 na 71 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la pili la The Blues lilifungwa na Victor Moses dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment