Mshambuliaji Mbelgiji, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo kutoka Chelsea akibinuka sarakasi baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-0 wa Borusia Dortmund dhidi ya Hamburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Bao la pili la Borusia Dortmund lilifungwa na Mario Gotze dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump will welcome Iran at World Cup - Infantino
-
US President Donald Trump has said Iran are "welcome" to take part in this
summer's World Cup despite the countries being at war, according to Fifa
preside...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment