Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia timu yake mpya, Borussia Dortmund mabao mawili na kuseti moja ikishinda ugenini 3-2 dhidi ya wenyeji, FC Cologne Uwanja wa RheinEnergie. Batshuayi, mshambuliaji wa KIbelgiji aliyesajiliwa wiki hii kwa mkopo kutoka Chelsea, alifunga dakika ya 35 na 62, wakati bao lingine la Dortmund limefungwa na André Schürrle dakika ya 84 na mabao ya wenyeji, FC Cologne yalifungwa na Simon Zoller dakika ya 60 na Jorge Meré dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ads in New York must now label AI-generated 'synthetic performers'
-
Any advertisements in New York that feature artificial
intelligence-generated people in place of actors will now be violating
state law if they don't clear...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment