Robert Lewandowski akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kufunga mabao matatu dakika za 17, 55 na 79 katika ushindi wa 6-0 wa Bayern Munich dhidi ya Augsburg kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Thomas Muller mawili dakika za 36 na 80 na Thiago Alcantara dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment