Wachezaji wa PSG wakishangilia baada ya kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Ufaransa kutwaa Kombe la Ligi mara nne mfululizo kufuatia kuifunga Monaco 4-1 Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais. Mabao ya PSG yalifungwa na Julian Draxler dakika ya nne, Angel Di Maria dakika ya 44 na Edinson Cavani mawili dakika za 54 na 90, wakati la Monaco lilifungwa na Thomas Lemar dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment