Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Stand United, Erick Mulilo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akipiga kichwa mpira wa juu mbele ya Erick Mulilo wa Stand United
Kiungo Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa akimuacha chini beki wa Stand United Job Ibrahim
Beki wa Yanga, Juma Abdul akimuacha chini kiungo wa Stand United, Suleiman Kassim 'Selembe'
Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Stand United
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka mchezaji wa Stand United
Haruna Niyonzima akimtoka mchezaji wa Stand United jana Uwanja wa Taifa
Simon Msuva akijiandaa kupiga mpira mbele wa kipa Stand United, Mohamed Makaka akakosa bao la wazi
Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Kikosi cha Stand United katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Eagles Rumors: WR John Ross to Attend Rookie Camp as Tryout; No. 9 Draft
Pick in 2017
-
John Ross, the No. 9 pick in the 2017 NFL draft, will attend the
Philadelphia Eagles rookie camp as a tryout, per NFL Network's Mike
Garafolo. Ross, a former…
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment