Cristiano Ronaldo akipiga shuti na kukosa bao la wazi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu, Real Madrid ikiichapa 3-2 Napoli ya Italia. Mabao ya Real yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 18, Toni Kroos dakika ya 49 na Casemiro dakika ya 54, wakati la Napoli lilifungwa na Lorenzo Insigne dakika ya nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen 'very relaxed' about Red Bull future
-
Max Verstappen appears relaxed about his future at Red Bull despite rumours
he could leave for a rival team in 2026.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment