Kiungo Frank Domayo wa Azam FC akimtoka mchezaji wa Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0
Winga wa Azam, Bruce Kangwa (kulia) akimtoka mchezaji wa Red Arrows jana
Mshambuliaji wa Azam, Yahya Mohammed akipambana na beki wa Red Arrows
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akiondoka na mpira mbele ya mchezaji wa Red Arrows
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi akimtoka mchezaji wa Red Arrows
Kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi akimtoka mchezaji wa Red Arrows





0 comments:
Post a Comment