Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya mwisho katika ikishinda 2-1 dhidi yawapinzani wao katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England, Leicester City mchana wa leo Uwanja wa Emirates. Leicester ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Jamie Vardy kwa penalti dakika ya 45, kabla ya Theo Walcott kuisawazishia Arsenal dakika ya 70. Leicester ilimpoteza beki wake Danny Simpson aliyetolewa kwa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wild moment female fan squats 220-pound Jaguars QB Trevor Lawrence in
Florida bar
-
Many sports fans would react with requests for photos or autographs if they
bumped into a star quarterback at a bar. One woman had a different request
in m...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment