MSN wa hatari; Luis Suarez akishangilia na Neymar na Lionel Messi baada ya kupiga hat-trick katika ushindi wa Barcelona wa 6-1 dhidi ya Celta Vigo usiku huu Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Messi, Neymar na Ivan Rakitic, wakati la Celta Vigo lilifungwa na John Guidetti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
EU governments back Italy's Comporti for next head of ESMA
-
BRUSSELS, July 23 (Reuters) - Ambassadors of European Union governments
backed on Wednesday Italy's Carlo Comporti as the next head of the European
Securit...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment