Wachezaji wa Simba SC, Hassan Kessi, Ivo Mapunda na Abdi Banda wakiwa wamebeba baango la "Yesu Nilinde" kabla ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yesu aliwapa ulinzi Simba SC jana wakaibuka na ushindi wa 1-0.
0 comments:
Post a Comment