• HABARI MPYA

    Friday, March 06, 2015

    MWONEKANO WA STUDIO ZA AZAM TV ZILIZOGHARIMU BILIONI 56

    Mwonekano wa studio mpya na kisasa za Azam TV zilizopo Tabata Relini, Dar es Salaam ambazo ujenzi wake umegharimu zaidi ya dola za Kimarekani Milioni 31 ambazo ni zaidi ya Sh. Bilioni 56 za Tanzania.

    Ni studio zenye hadhi ya kimataifa

    Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando (kushoto) akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Yussuf bakhresa (kulia) jana 

    Studio hizi zinatarajiwa kuzinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWONEKANO WA STUDIO ZA AZAM TV ZILIZOGHARIMU BILIONI 56 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top