Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BAADA ya kuchapwa bao 1-0 jana na watani wao wa jadi, Simba SC Yanga SC watakuwa na mechi nyingine mbili ndani ya siku tano.
Keshokutwa, Jumatano Yanga SC watakuwa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Baada ya hapo, Jumapili watahamia kwenye Kombe la Shirikisho (C2) watakapomenyana na FC Platinum ya Zimbabwe.
Hii maana yake Yanga SC wanahitaji utulivu na kusahau matokeo ya jana, kasha kujiopanga kwa ajili ya michezo hiyo muhimu.
Wakati huo huo; Ligi Kuu ya Vodacom itaendelea kesho siku ya Jumanne katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, wenyeji timu ya Polisi Morogoro watawakaribisha Ruvu Shooting kutoka Mlandizi mkoani Pwani.
Jumatano, mabingwa watetezi, Azam FC watakuwa wageni wa Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

![]() |
| Kikosi cha Yanga SC kilichofungwa 1-0 na Simba SC jana |
Wakati huo huo; Ligi Kuu ya Vodacom itaendelea kesho siku ya Jumanne katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, wenyeji timu ya Polisi Morogoro watawakaribisha Ruvu Shooting kutoka Mlandizi mkoani Pwani.
Jumatano, mabingwa watetezi, Azam FC watakuwa wageni wa Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

.png)
0 comments:
Post a Comment