MISRI ILIVYOIFUNDISHA SOKA LA UFUKWE TANZANIA JANA ESCAPE ONE
Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri ya soka la ufukweni, Ibrahim Mohammed (kushoto) akimtoka mchezaji wa Tanzania katika mechi ya kwanza Raundi ya Pili kufuzu Fainali za Afrika jana ufukwe wa Escape One, Mikocheni, Dar es Salaam. Misri ilishinda 6-2.
0 comments:
Post a Comment