• HABARI MPYA

    Tuesday, November 11, 2014

    SERGE WAWA AFUZU VIPIMO VYA AFYA AZAM FC

    Beki Serge Wawa Pascal kutoka Ivory Coast, leo amefanyiwa vipimo vya afya katika kliniki ya Ebtu Physical Therapy Unit, Mikocheni, Dar es Salaam kuelekea usajili wake katika klabu Azam FC akitokea El Merreikh ya Sudan.
    Akiwa hapo pia alipata fursa ya kukutana na kiungo mkabaji aliyesajiliwa Azam FC msimu huu kutoka Yanga SC, Frank Raymond Domayo na kupiga naye picha. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERGE WAWA AFUZU VIPIMO VYA AFYA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top