• HABARI MPYA

    Thursday, November 06, 2014

    MAMBO YA CAVANI, KWA NINI ASIVIMWAGE 'MIDENDA' VIGOGO ULAYA!


    Mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani akiruka kichwa cha mkizi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Apoel Nicosia jana, Cavani alifunga bao pekee PSG ikishinda 1-0. 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2822605/PSG-1-0-Apoel-Nicosia-Edinson-Cavani-scores-fastest-Champions-League-goal-club-s-history-ahead-Barcelona-Group-E.html#ixzz3IFo2xGge 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YA CAVANI, KWA NINI ASIVIMWAGE 'MIDENDA' VIGOGO ULAYA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top