Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Toni Kroos bao lake alilofunga dakika ya tisa jana katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 40, Kroos dakika ya 56, Karim Benzema dakika ya 59 na Cristiano Ronaldo dakika ya 83, wakati na Rayo lilifungwa na Bueno dakika ya 44.
We are going to improve in the next game – Ghana U-15 coach Kwaku Danso
-
Ghana U-15 coach Kwaku Danso says his team will be even better in their
next game despite a strong showing at the ongoing CAF African Schools
Championship....
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment