• HABARI MPYA

    Sunday, October 05, 2014

    WATU NA AJIRA ZAO, UNADROO NA STAND, MECHI IJAYO UNA YANGA...KWA NINI VICHWA VISIUME!

    Benchi la Ufundi la Simba SC, kutoka kushoto kocha Mkuu, Patrick Phiri, Msaidizi Suleiman Matola, Meneja Nico Nyagawa na kocha wa makipa, Iddi Pazi 'Father'. Simba SC imetoa sare mechi zake zote tatu za mwanzo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2-2 na Coastal Union, 1-1 mara mbili na Polisi Moro na Stand United, mechi zote ikitangulia kupata mabao. Mechi ijayo, Simba SC itacheza na mahasimu wa jadi, Yanga SC Oktoba 18, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATU NA AJIRA ZAO, UNADROO NA STAND, MECHI IJAYO UNA YANGA...KWA NINI VICHWA VISIUME! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top