• HABARI MPYA

    Monday, October 13, 2014

    WABONGO 'NUKSI', TAYARI WASHAANZA KUUZA JEZI MPYA YA TAIFA STARS

    Mfanyabiashara ndogo ndogo, maarufu kama Mmachinga akitembeza jezi mpya za timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo dhidi ya Benin. Stars ilishinda 4-1. Jezi hizi zimeanza kutumika baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupata uongozi mpya chini ya Rais, Jamal Malinzi lakini tayari 'wataalamu' wamekwishachapisha na kuanza kuuza bila idhini ya shirikisho hilo. Lakini 'wataalamu' hao wanapata mwanya huo kutokana na kukosekana jezi halali za timu zao, wazi Idara ya Masoko ya TFF inatakiwa kuchukua hatua.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WABONGO 'NUKSI', TAYARI WASHAANZA KUUZA JEZI MPYA YA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top