• HABARI MPYA

    Tuesday, October 14, 2014

    REAL MADRID WAMTAKA DE GEA...MAN UNITED NAO WATAKA KUUBORESHA MKATABA WAKE

    KLABU ya Real Madrid inaendelea kufuatilia kiwango cha kipa wa kimataifa wa Hispania, David de Gea katika klabu yake ya Manchester United kwa lengo la kumnunua.
    Wakati presha imezidi kuongezeka kutaka kinda huyo wa umri wa miaka 23, De Gea achukue mikoba ya kipa mkongwe Iker Casillas anayeonekana kushuka kiwango katika timu ya taifa, na Madrid nao wana dhamira hiyo hiyo.
    Pamoja na hayo, United nayo ina mpango wa kuingia kwenye majadiliano ya kuuboresha mkataba wa mlinda mlango huyo, ikiwa na matumaini ya kuurefusha pia.  

    Real Madrid wanamfuatilia David de Gea anayeendelea vizuri katika klabu yake ya Manchester United, ili wamsajili
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID WAMTAKA DE GEA...MAN UNITED NAO WATAKA KUUBORESHA MKATABA WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top