• HABARI MPYA

    Tuesday, October 14, 2014

    MCHEZAJI YANGA SC ALIPOKUTANA NA RAIS ZANZIBAR KWA MJADALA WA SOKA

    Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amaan Abeid Karume kulia akiwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Abdi Kassim Sadallah 'Babbi' au Balack wa Unguja alipomkaribisha kwa mazungumzo nyumbani kwake visiwani Zanzibar kujadili naye kuhusu soka ya Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Babbi kwa sasa anacheza soka ya kuliwa Vietnam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI YANGA SC ALIPOKUTANA NA RAIS ZANZIBAR KWA MJADALA WA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top