Mshambuliaji wa Real Madrid, James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake ya taifa, Colombia ikishinda 1-0 dhidi ya Canada katika mchezo wa kirafiki mjini New Jersey, Marekani leo. Mfungaji huyo bora wa Kombe la Dunia, alifunga bao hilo dakika ya 75 baada ya mpira wa adhabu wa haraka. Mshambuliaji wa Manchester United, Radamel Falcao alifunga kipindi cha kwanza, lakini refa akasema alikuwa tayari amekwishaotea.
Little offence from Blue Jays in another loss to Rays
-
Toronto is 6 1/2 games out of the final AL wild card spot.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment