// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA BRAZIL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA BRAZIL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 12, 2014

    TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA BRAZIL

    Tunawakilisha; Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi wa pili kushoto akiwa na rais wa zamani wa shirikisho hilo, Leodegar Tenga mjini Sao Paulo, Brazil kushiriki Mkutano Mkuu wa 64 wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) jana. Brazil pia ni wenyeji wa Kombe la Dunia mwaka huu. Wengine kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Mgoyi  na kushoto ni katibu wa shirikisho hilo, Celestine Mwesigwa
    Kutoka kulia Mwesigwa, Malinzi na Mgoyi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top