• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 22, 2014

  ALGERIA YANUSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUWACHAPA KOREA 4-2

  Islam Slimani wa Algeria akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Korea Kusini usiku huu katika ushindi wa 4-2 mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia nchini Brazil. Algeria inapanda nafasi ya pili kwa pointi zake tatu, nyuma ya Ubelgiji yenye pointi sita, Urusi na Korea zina pointi moja kila mmoja. Algeria itamaliza na Urusi mechi ya mwisho ya kundi hilo.     

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALGERIA YANUSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUWACHAPA KOREA 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top