• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  RAIS MTARAJIWA SIMBA SC, EVANS AVEVA ALIVYOPOKEWA KIGAMBONI JANA

  Mgombea Urais wa Simba SC, Evans Eliaza Aveva kulia akisalimiana na wanachama wa tawi la Kigamboni, Dar es Salaam jana alipowatembelea kwa ajili ya kampeni
  Aveva na wanachama Kigamboni jana

  Kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Hassan Daalal akiongozana na Aveva

  Wanachama wakimsikilizaa Aveva

  Sera za mgombea zinapofurahisha wanachama, huchekelea

  Mzee Daalal akimuombea kura Aveva

  Aveva akizungumza na wanachama

  Aveva akiagana na wanachama baada ya kumaliza kuzungumza nao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS MTARAJIWA SIMBA SC, EVANS AVEVA ALIVYOPOKEWA KIGAMBONI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top