• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  MKE WA VICTOR COSTA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC

  Mgombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji Simba SC, Jasmine ambaye ni mke wa beki wa zamani wa klabu hiyo, Victor Costa akizungumza na wanachama wa tawi la Kigamboni jana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Juni 29, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKE WA VICTOR COSTA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top