UFARANSA WALIPOKOSA BAO LA WAZI MNO DHIDI YA ECUADOR
Kosakosa: Antoine Griezmann wa Ufaransa akigongesha mwamba wa juu katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia dhidi ya Ecuador usiku wa kuamkia leo. Ufaransa imeongoza kundi hilo kwa pointi zake saba na kufuzu sambamba na Uswisi iliyoshika nafasi ya pili kwa pointi zake sita.
0 comments:
Post a Comment