KIPA wa Mexico, Guillermo Ochoa jana aliokoa mabao kadhaa ya wazi na kuinyima Brazil ushindi ikilazmishwa sare ya 0-0 katika mchezo wa pili wa Kundi A uliopigwa Uwanja wa Castelao, Kombe la Dunia mwaka huu.
Hiyo imewakumbusha mbali kidogo Wabrazil, kuna mchomo mmoja kipa huyo aliokoa unakaribia kufanana na wa gwiji wa zamani wa nchi hiyo enzi hizo, Pele uliookolewa na Gordon Banks.
Hiyo imewakumbusha mbali kidogo Wabrazil, kuna mchomo mmoja kipa huyo aliokoa unakaribia kufanana na wa gwiji wa zamani wa nchi hiyo enzi hizo, Pele uliookolewa na Gordon Banks.
Ochoa akipangua mpira wa Neymar ambao ulikuwa unaelekea nyavuni

.png)
0 comments:
Post a Comment