Nibusu haraka: Mshambuliaji wa Uswisi, Xherdan Shaqiri (kulia) akibusu camera baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Honduras mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia. Uswisi imeungana na Ufaransa kufuzu hatua ya 16 Bora kutoka kundi hilo ikimaliza na pointi sita, wakizidiwa moja tu na vinara wa kundi hilo, ambao nao wametoka sare ya 0-0 na Ecuador usiku wa kuamkia leo. Uswisi sasa itamenyana na Argentina.
🔢 Martinelli handed new shirt number at Arsenal
-
Arsenal forward Gabriel Martinelli might be changing shirt numbers ahead of
the 2022/23 season. The Brazilian international has been donning the
number 35...
Dakika 3 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni