• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  RONALDO AAGA MAPEMA KOMBE LA DUNIA, GHANA NAYO NJE

  Haina shangwe: Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiondoka baada ya kuifungia Ureno bao la pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ghana, mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia nchini Brazil. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Boye, wakati bao la Ghana lilifungwa na Akwasi Appiah. Ureno na Ghana zote zimetolewa, wakati Ujerumani na Marekani zimetinga 16 Bora kutoka kundi hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AAGA MAPEMA KOMBE LA DUNIA, GHANA NAYO NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top