Ruka juu: Mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller akiruka juu kupiga ngumi hewani baada ya kuifungia bao pekee timu yake ikishinda 1-0 dhidi ya Marekani katika mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia nchini Brazil. Hata hivyo, timu zote Ujerumani na Marekani zimefuzu hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo. Ujerumani imemaliza na pointi saba, Marekani pointi nne sawa na Ureno, lakini imefuzu kwa wastani wake mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa, huku Ghana ikishinda mkia kwenye kundi hilo kwa pointi yake moja.
Deshaun Watson's Lawyer Expects to Hear About NFL Discipline by June or July
-
Rusty Hardin, the attorney for Deshaun Watson, says he expects the NFL to
decide on whether to discipline the Cleveland Browns quarterback at some
point in...
Dakika 33 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni