• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  IDDI KAJUNA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC

  Mgombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Iddi Kajuna akizungumza na wanachama wa tawi la Kigamboni jana wakati wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo Juni 29, mwaka huu. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IDDI KAJUNA ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top