• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 21, 2014

  OMOG ATUA DAR KUANZA KUISUKA AZAM FC MPYA TISHIO ZAIDI MSIMU UJAO

  Kocha Mkuu wa Azam FC, Mcameroon Joseph Marius Omog akiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JKN), Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuanza kuiandaa timu yake kwa mashindano ya msimu ujao. Azam wataanza kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Agosti mwaka huu wakati mapema mwakani watashiriki Ligi Mbingwa Afrika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OMOG ATUA DAR KUANZA KUISUKA AZAM FC MPYA TISHIO ZAIDI MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top