• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 27, 2014

  WENGER AKIPIGA KICHWA KAMA CHA VAN VERSIE

  Ujuzi hauzeeki; Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akipiga kichwa wakati anacheza soka ya ufukweni nchin Brazil. Hii imefanana kidogo na kichwa alichopiga Robin van Persie, Uholanzi ikiifunga Hispania 5-1 katika Kombe la Dunia
  Airtime: Wenger flings his legs in the air, resembling Robin van Persie's header against Spain
  Wenger akipaa kupiga kichwa
  Airtime: Van Persie's amazing header against Spain in their opening Group B game in Salvador
  Van Persie alipiga namna hii katika mchezo wa kwanza wa Kundi B mjini Salvador
  Super Van: The Dutch striker flew through the air and headed past Spanish goalkeeper Iker Casillas
  Mholanzi huyo alimfunga bao la hatari  sana akimtungu kipa Iker Casillas
  Beach football: The Arsenal boss prepares to serve/kick

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WENGER AKIPIGA KICHWA KAMA CHA VAN VERSIE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top