Lifti hewani: Alexander Samedov wa Urusi akienda hewani baada ya kukwatuliwa na kiungo wa Korea Kusini, Ki Sung-Yeung katika mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia mjini Culaba usiku wa kuamkia leo. Timu hizo zilitoka 1-1 bao la Urusi likifungwa na Aleksnadr Kerzhakov na la Korea kipa Igor Akinfeev aliupangulia mwenyewe ndani mpira uliopigwa na Lee Keun-Ho.
Forced hugs, dressing room tirades and the moment the Man City hierarchy
began to lose faith: Pep Guardiola bares his soul in new Amazon Prime
docuseries, writes JACK GAUGHAN - and it's clear to see why boss knew
change was necessary
-
JACK GAUGHAN: Even when signing his final new contract in November 2024,
Pep Guardiola knew that change would soon be necessary at Manchester City .
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment