• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 29, 2014

  RODRIGUEZ AMEFUNGA BAO BORA ZAIDI KOMBE LA DUNIA HADI SASA, KAMPOTEZA HADI MESSI

  ANAWAPIKU Lionel Messi na Tim Cahill. James Rodriguez amefunga bao bora zaidi katika Kombe la Dunia hadi sasa kwa mwaka huu, akiiwezesha Colombia kuitoa Uruguay katika 16 Bora Uwanja wa Maracana. 
  Aliumiliki vizuri mpira wa kichwa katika kifua chake akiwa umbali wa mita 25 kutoka langoni, mvaa jezi mamba 10 huyo wa Colombia kisha akaushusha chini na akiwa amezingirwa na wachezaji wawili wa Uruguay, akafumua bonge la shuti hadi nyavuni. 
  Rodriguez amefunga bora zaidi hadi sasa Kombe la Dunia
  Volley: Diego Godin tries in vain to stop Rodriguez's rocket as it flies towards goal
  Diego Godin alijaribu bila mafanikio kuzuia mkwaju wa RodriguezHelpless: Fernando Muslera can do nothing to stop Rodriguez's goal-bound strike
  Mateso kwa kipa: Fernando Muslera hakuweza kuuona mchomo huo mkalin wa RodriguezEcstatic: Rodriguez peels away after seeing the ball bounce down and into the net after hitting the crossbar
  Rodriguez akitimua mbio kushangilia mpira ukicheza na nyavu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RODRIGUEZ AMEFUNGA BAO BORA ZAIDI KOMBE LA DUNIA HADI SASA, KAMPOTEZA HADI MESSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top